KUZA NYWELE ZAKO KWA KUFANYA HAYA
Habari za leo wasomaji wangu.... tumain langu wot ni wazima na pole kwa pole wagonjwa MUNGU atawaafu. katika pitapita zangu leo nataka kuwashauri kitu kuhusu utunzaji na ukuaji wa nywele hii ni kwa nywele za aina zote. Njia hizi ni bora na nzuri endapo utazifatilia na hakika utazipenda sana nywele zako hatua ya kwanza *zipende nywele zako na kuzikubali vile zilivyo. hii itakusaidia wewe kuweza kuwa na matumain juu ya ukuwaji wa nywele zako ikiwa ni ngumu, laini au nywele za kipilipili hvy zikubali na uzipende. *Tumia njia nzuri ya kuosha na kuzichana nywele zako. Tumia conditioner na shampoo nzuri zinazofaa kwa nywele ambazo hazifany nywele kukakamaa. Mimi natumia Olive Shampoo hvy napenda jinsi inayosafisha nywele zangu na kuzifanyab zingae kila wakat pia katika kuchana nywele anzia chini kwenza juu na jitahid kuzichambua nywele zako kabla ya kuzichana endapo kama zimejifunga ili ziweze kuchanika vizuri bila kuzikata. * Chagua mafuta sahihi kwa nywele zako. Mmi napenda kutumi...
Jee mtoto chini ya mwaka naweza mpaka
JibuFutaRuty robuam
Futa*MAAJABU* *YA* *MAFUTA* *ASILI* *YA* *MTI* *WA* *MNYONYO* *(CASTOR OIL ). Ni Mafuta Ya Asili *_yaliyoshika umaarufu mkubwa Duniani kutokana na nguvu yake kubwa inayofanya kazi katika mwili wa mwanadamu kuliko mafuta mengne yoyote Duniani!! Mafuta ya Asili ya mti wa Mnyonyo (CASTOROIL) hufanya yafuatayo katika mwili::;
JibuFuta1: Hutibu fangasi sugu wa aina zote kwa siku tatu
2: Huondoa makovu na michirizi ndani ya wiki mbili
3: Hukuza nywele, kusafisha kichwa, kuondoa MBA sugu na kurejesha Afya ya Nywele
4: Huondoa kipara kwa kujaza nywele na kuzirefusha ndani ya mwezi mmoja
5: Hutibu U.T.I sugu pamoja na kuondoa gesi tumboni kwa mda cku nne
6: Husaidia katika kupanga uzazi kwa akina mama bila kutumia njia za kisasa ambazo nyingi zina madhara
7: Hutibu saratani ya ngozi pamoja na mkanda wa jeshi
8: Hutibu matatzo yote ya ngozi
9: Hutibu matatizo ya hedhi kwa akina dada na akina mama
10: Huondoa mikunjo ya ya ngozi usoni inayomfanya mtu kuonekana mzee,na badala yake huifanya ngozi kuwa nyororo na ya kuvutia
11: Ni mafuta mazuri kwa watoto wachanga kwa sababu yana Antibiotic-Asili ya kuua vimelea vya magonjwa
12: Hutibu vidonda vya kuungua kwa moto na aina zote za vidonda sugu katika mwili
13: Hutibu tatizo la (joint fluid) kuuma kwa joint za mwili kwa kujaa maji pamoja na maumivu
14: Hutibu kuteguka kwa Mifupa,kuuma kwa baadhi ya sehemu za mwili pamoja na vichomi vya aina zote!!!
NB!! Mafuta Asili ya mnyonyo(Castor oil) ni yale ambayo hayajapita kiwandani wala kuongezewa kemikali yoyote,tumia yaliyoandaliwa kwa njia za asili zaidi na tatizo lako litakwisha!!!
NB:: Matumiz ya mafuta haya ni mengi na ni zaid ya yaliyotajwa hapo juu!! Kwa Sababu Dunia yetu hii ni kama kijiji kimoja, mambo yote yapo mtandaoni!! Ingia Google andika" MAFUTA YA MNYONYO" utaona kila kitu!! Kwa uhitaj wa Mafuta haya unaweza kututafta kwa 0621399120 au 0784758836 TUPO CHUO CHA MIPANGO DODOMA!!
Kwa wale mnaotaka pia kufanya biashara hii ya castor oil, karbn mchukue mzgo muanze biashara!! Tutafte 0621399120 na 0784758836 tunapatkana dodoma
JibuFutaJe, unaweza kunywa mafuta haya au ni kwa kupakaa tuu?
JibuFuta💕💕
JibuFuta