KUZA NYWELE ZAKO KWA KUFANYA HAYA

Habari za leo wasomaji wangu.... tumain langu wot ni wazima na pole kwa pole wagonjwa MUNGU atawaafu.

katika pitapita zangu leo nataka kuwashauri kitu kuhusu utunzaji na ukuaji wa nywele hii ni kwa nywele za aina zote. Njia hizi ni bora na nzuri endapo utazifatilia na hakika utazipenda sana nywele zako

hatua ya kwanza
*zipende nywele zako na kuzikubali vile zilivyo. hii itakusaidia wewe kuweza kuwa na matumain juu ya ukuwaji wa nywele zako ikiwa ni ngumu, laini au nywele za kipilipili hvy zikubali na uzipende.

*Tumia njia nzuri ya kuosha na kuzichana nywele zako. Tumia conditioner na shampoo nzuri zinazofaa kwa nywele ambazo hazifany nywele kukakamaa. Mimi natumia Olive Shampoo hvy napenda jinsi inayosafisha nywele zangu na kuzifanyab zingae kila wakat pia katika kuchana nywele anzia chini kwenza juu na jitahid kuzichambua nywele zako kabla ya kuzichana endapo kama zimejifunga ili ziweze kuchanika vizuri bila kuzikata.

* Chagua mafuta sahihi kwa nywele zako. Mmi napenda kutumia mafuta ya asili kama mafuta ya nyonyo ( castor oil) , mafuta ya nazi, Habbat soda au mzaituni. kwan ni mazuri yanajaza nywele, yanakuza, yanasaidia kuotesha nywele na kuondoa mba kichwani.

*Punguza matumizi ya vitu ya moto kama pasi za nywele kwan husababisha nywele kuchoka haraka na kukatika mara kwa mara.

*Zisuke nywele zako  mara kwa mara ii itasaidia kukuza nywele zako kwa haraka zaidi na zenye afya.


HITIMISHO.

JALI NYWELE ZAKO KWA  HALI YA JUU NA JARIBU KUFATILIA KWA KUFUATA NJIA HIZI... KWA MAHITAJI YA MAFUTA YA CASTOR OIL WHATSAPP/PIGA NO 0658276797

Maoni

  1. Pazi za nywele ni pasi gani? Mm sijajua hapo kinazungumziwa kitu gani? Pili

    Hayo mafuta yanyonyo matumizi take unakua unayapaka kila siku au ?naombeni mnisaidie majib please.

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUZA NYWELE ZAKO KWA KUTUMIA MAFUTA YA NYONYO (CASTOR OIL).