KUZA NYWELE ZAKO KWA KUTUMIA MAFUTA YA NYONYO (CASTOR OIL).

Mafuta ya castor oil au nyonyo ni mafuta yatokanayo na mmea wa mbarika. ni mafuta ya asili yanayotumika katika shughuli mbalimbali kama kukuza nywele, kuondoa michilizi, husaidia kuotesha kope na kazi nyingine nyingi tu.....

leo tutaongelea faida ya mafuta ya nyonyo katika ukuzaji na uboreshaji wa nywele zako. Hapa tuazungumzia mafuta halisi ya castor oil ambayo yametengenezwa kiasili na hayajachakachuliwa

1. Mafuta ya  nyonyo yanasaidia kukuza nywele. mafuta haya uliyaasha moto na kuwa na joto kiasi, ukiyapaka kichwani na kuyamassage  kwa kuyasambaza kichwan, kwa kufanya hivi japo mara mbili kwa wiki itakupa matokeo mazuri.

2.mafuta haya yanajaza nywele. mafuta ya nyonyo yana uwezo mkubwa a kujaza nywele na kuotesha zaid na haraka kuliko kawaida kwan yana virutubisho kama omega 6 fatty acids ambavyo huongeza virutubisho vinavyongeza afya kwa nywele.

3. Mafuta ya nyonyo hutibu tatizo la mba kichwani.

mafuta haya yana uwezo mkubwa wa kuua vijidudu/ bakteria  mbao huleta matatizo mbalimbali ya nywele na ngozi ya kichwa.

4. husaidia kung'arisha nywele na kuonekana zenye afya


5. Pia hutumika kama
conditioner au huweza kutumiwa kuchanganya na steaming na ukapaka kichwan na kuzifanya nywele zako kuwa imara zaidi.


HITIMISHO.

JALI NYWELE ZAKO KWA  HALI YA JUU NA JARIBU KUFATILIA KWA KUFUATA NJIA HIZI... KWA MAHITAJI YA MAFUTA YA CASTOR OIL WHATSAPP/PIGA NO 0658276797

Maoni

  1. Jee mtoto chini ya mwaka naweza mpaka

    JibuFuta
  2. *MAAJABU* *YA* *MAFUTA* *ASILI* *YA* *MTI* *WA* *MNYONYO* *(CASTOR OIL ). Ni Mafuta Ya Asili *_yaliyoshika umaarufu mkubwa Duniani kutokana na nguvu yake kubwa inayofanya kazi katika mwili wa mwanadamu kuliko mafuta mengne yoyote Duniani!! Mafuta ya Asili ya mti wa Mnyonyo (CASTOROIL) hufanya yafuatayo katika mwili::;
    1: Hutibu fangasi sugu wa aina zote kwa siku tatu
    2: Huondoa makovu na michirizi ndani ya wiki mbili
    3: Hukuza nywele, kusafisha kichwa, kuondoa MBA sugu na kurejesha Afya ya Nywele
    4: Huondoa kipara kwa kujaza nywele na kuzirefusha ndani ya mwezi mmoja
    5: Hutibu U.T.I sugu pamoja na kuondoa gesi tumboni kwa mda cku nne
    6: Husaidia katika kupanga uzazi kwa akina mama bila kutumia njia za kisasa ambazo nyingi zina madhara
    7: Hutibu saratani ya ngozi pamoja na mkanda wa jeshi
    8: Hutibu matatzo yote ya ngozi
    9: Hutibu matatizo ya hedhi kwa akina dada na akina mama
    10: Huondoa mikunjo ya ya ngozi usoni inayomfanya mtu kuonekana mzee,na badala yake huifanya ngozi kuwa nyororo na ya kuvutia
    11: Ni mafuta mazuri kwa watoto wachanga kwa sababu yana Antibiotic-Asili ya kuua vimelea vya magonjwa
    12: Hutibu vidonda vya kuungua kwa moto na aina zote za vidonda sugu katika mwili
    13: Hutibu tatizo la (joint fluid) kuuma kwa joint za mwili kwa kujaa maji pamoja na maumivu
    14: Hutibu kuteguka kwa Mifupa,kuuma kwa baadhi ya sehemu za mwili pamoja na vichomi vya aina zote!!!

    NB!! Mafuta Asili ya mnyonyo(Castor oil) ni yale ambayo hayajapita kiwandani wala kuongezewa kemikali yoyote,tumia yaliyoandaliwa kwa njia za asili zaidi na tatizo lako litakwisha!!!

    NB:: Matumiz ya mafuta haya ni mengi na ni zaid ya yaliyotajwa hapo juu!! Kwa Sababu Dunia yetu hii ni kama kijiji kimoja, mambo yote yapo mtandaoni!! Ingia Google andika" MAFUTA YA MNYONYO" utaona kila kitu!! Kwa uhitaj wa Mafuta haya unaweza kututafta kwa 0621399120 au 0784758836 TUPO CHUO CHA MIPANGO DODOMA!!

    JibuFuta
  3. Kwa wale mnaotaka pia kufanya biashara hii ya castor oil, karbn mchukue mzgo muanze biashara!! Tutafte 0621399120 na 0784758836 tunapatkana dodoma

    JibuFuta
  4. Je, unaweza kunywa mafuta haya au ni kwa kupakaa tuu?

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

KUZA NYWELE ZAKO KWA KUFANYA HAYA