KUZA NYWELE ZAKO KWA KUTUMIA MAFUTA YA NYONYO (CASTOR OIL).
Mafuta ya castor oil au nyonyo ni mafuta yatokanayo na mmea wa mbarika. ni mafuta ya asili yanayotumika katika shughuli mbalimbali kama kukuza nywele, kuondoa michilizi, husaidia kuotesha kope na kazi nyingine nyingi tu..... leo tutaongelea faida ya mafuta ya nyonyo katika ukuzaji na uboreshaji wa nywele zako. Hapa tuazungumzia mafuta halisi ya castor oil ambayo yametengenezwa kiasili na hayajachakachuliwa 1. Mafuta ya nyonyo yanasaidia kukuza nywele . mafuta haya uliyaasha moto na kuwa na joto kiasi, ukiyapaka kichwani na kuyamassage kwa kuyasambaza kichwan, kwa kufanya hivi japo mara mbili kwa wiki itakupa matokeo mazuri. 2. mafuta haya yanajaza nywele . mafuta ya nyonyo yana uwezo mkubwa a kujaza nywele na kuotesha zaid na haraka kuliko kawaida kwan yana virutubisho kama omega 6 fatty acids ambavyo huongeza virutubisho vinavyongeza afya kwa nywele. 3. Mafuta ya nyonyo hutibu tatizo la mba kichwani . mafuta haya yana uwezo mkubwa wa kuua vijidudu/ bakte...